majina ya wasichana

kumbe shosti hivi kumbe hawajijui hawaaa,wakiona tunawachekea wanazani kweli!!!

Hawajatusoma shosti,wanafikiri tunacheka,si tuchekeje nao????kwa lipi?hatuko hapa kumfurahisha mtu na kukubali chochote hata kama tunadhalilishwa,sasa ndo watatusoma na safari hii lazima wajibebe!Kitaeleweka tu,usipojiheshimu,usitarajie heshima,nimechoka na mada kama hizi.

hamo wa saya?
 
sperm donors
necessary devils
pig
assclowns
bastards
big fat slobs
nimesahau ya kiswahili ngoja nirudi Tz ntaanza tena hii mada................LOL
 
tuko wengi,ingekuwa enzi zangu hawa wangechambia panga
 
thanx dear. Hii vita ni kali ila lazima tushinde

mmh shosti mahasira yamepanda unataka utoe matusi nini.

Hawajatusoma shosti,wanafikiri tunacheka,si tuchekeje nao????kwa lipi?hatuko hapa kumfurahisha mtu na kukubali chochote hata kama tunadhalilishwa,sasa ndo watatusoma na safari hii lazima wajibebe!Kitaeleweka tu,usipojiheshimu,usitarajie heshima,nimechoka na mada kama hizi.

unacheka wenzio tuna hasira.
Ngoja ninywe maji kwanza.

Leo....!!!! Kazi ipo,aliyeanzisha mada kaingia mitini kawaacha watu wanataka kutoana roho hapa,punguzeni jazba basi hasira hasara.
 
Back
Top Bottom