majina ya wasichana

OOOOOOOOOh how did i forget! am proud of my girl Preta..........Aluta Continua
 
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana?

Mfano:

1. DEMU
2. MLUPO
3. SHORI
4. KISHTOBE
5. MANZI
6. SISTA DUU
7. SKETI

Kama unayajua mengine unaweza ongezea


Mh...!!! hii mada nikiichangia nitaachika
..........:flock::flock::flock:..............
,
 
Back
Top Bottom