Majina ya walioitwa kuripoti Mahakamani

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
900
431
wandugu,kichwa kinajieleza nasikia yakuwa Tume Ya utimishi wa mahakama wameita watu kureport rasmi.

Mwenye gazeti la Mwananchi la Jana 21 kama ntakuwa nimekosea mtaniweka sawa ila nanimeambiwa la mwananchi!

Naomba kwa mwenye majina ashare na sisi au gazeti kurasa hiyo.

Na mdogo wangu yuko mkoa na yuko in dillema.

Naomba kuwasilisha!
 
nitajie jina na kada aliyoomba nimwangalizie!
 
Nilidhani wana kesi hivyo wamepewa "summon" wakaripoti mahakamani kwa ajili ya mashitaka yaliyoelekezwa kwao kumbe ni masuala ya ajira! Kweli hii inaweza kuwa tungo tata.:(
 
Back
Top Bottom