Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

Majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2nd round

Tusisahau kupiga screen shot tu, na kusema umepata chuo gani katika raundi hii ya pili.
Tunafanikiwe sote.
Hao wanafanya mambo kama siyo wasomi....

Hili tatizo ni la TCU...vyuo havijapata majina toka TCU....
 
Kama ulifanya udom ingia kwenye account ujione mwenyew
 
Sijui hata wanatumia nn kufikilia hawa watu n akili ndogo sana inahitaj kufikiliaa na kuwasaidiaa watu waweze kuapply lkn hawa jamaa n pasua kichwa kweli!!!!!
 
Hakuna cha kuachia wala nini... Wao wamefungua awamu ya tatu ilihali bado hawana majina ya awamu ya pili
ni kweli, udom oas ipo wazi kwa third round. Sasa hata majina ya second selection bado hawajatoa. Full kuchanganyana.
 
Wanawakosesha raha vijana walioomba awamu ya pili kwasababu wanaona awamu ya tatu Hiyo inayoyoma na Hata majina yao ya awamu ya pili hawajayaona.
Hiki pia ni kipindi kigumu kwao bila shaka.
 
sasa ii ari sio nikukomoana uku, mana mwisho 3rd round kesho tu apoo na watu mpaka dakika ii atuelewi nn chakufanyaa
 
Back
Top Bottom