Uswiss
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 841
- 2,169
kweri..itakua ndo wanatupia majinasystem ya udom haifunguki wanadai inafanyiwa matengenezo itakua available soon
kweri..itakua ndo wanatupia majinasystem ya udom haifunguki wanadai inafanyiwa matengenezo itakua available soon
na iwe tu ivyokweri..itakua ndo wanatupia majina
yani ad dk hii usingizi umekata na ndugu zangu TCU mtuonee huruma tupangeni basi coz yoyote mana izi presha mtatuua sio kwa kukesha hukuna iwe tu ivyo
mkuu bora emoji kuliko hizi vitu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Udom inavyoonesha mara hii imewaacha wanafunzi wengi waliosoma diploma basitumefanya sec round application lakini vyuo havijaonesha nafasi zilizobaki kwa course husika hili mtu ulinganishe ufahuru wako ,nafasi zilizobaki na competition iliyopo hasa kwetu waombaji wenye sifa za stashahada tulioomba udom hakuna aliepata admission hata mmoja GPA 4.7 BUSINESS na nkaomba shahada za business na sijapata udahili round ya kwanza tuambieni basi jamani tuombe nn msaada plz mana nshachoka
bora ingechukua hata mmoja tu but hakuna diploma alopata udahili sijui vigezo gani walivyotumia wao kwa wenye sifa za stashaadaUdom inavyoonesha mara hii imewaacha wanafunzi wengi waliosoma diploma basi
Mkono wa M/Mungu unahitajika kufanya wepesi wakeIla tuendelee kujipa moyo na matumaini ya kupata vyuo kwa round iliyopita wakuu
zotee nahisi mana nilipiga simu kuuliza wakaniambia tatizo si langu peke yangu ni la wote waliotokea diploma hakuna majina yao tangu wanambie watalishughulikia then watanipa jibu wakapotea mazima na simu hawajapokea tena nkajitosa udsm mana first round nliapply udom pekeakeKwa hiyo kwa programme zote hakuna diploma au hiyo uliyoomba wewe tu mkuu?
hata ukichek majina yao yote ni ya six hakuna wa diploma pale bt uzuri wao walisema wanajua kua hamna diploma watatijibuzotee nahisi mana nilipiga simu kuuliza wakaniambia tatizo si langu peke yangu ni la wote waliotokea diploma hakuna majina yao tangu wanambie watalishughulikia then watanipa jibu wakapotea mazima na simu hawajapokea tena nkajitosa udsm mana first round nliapply udom pekeake
imi sina whatsap unanisaidiaje?Dah h tz hatar kuna kund la wat kama …300 tukokox vyuo nd 2napt update na news namb 0755350706 nifat whatsap nkuunganishe 2share
AVN nnayo GPA 4.7 hapo kwenye 4 nlizingua nkaenda certificate then ndo huko nlikojua umuhimu wa elimu nkakaza ad hapo nlipofikia kuhusu coz ni kwamba diploma ya business administration na nkaomba bachelor za commerce ambazo mwaka 2015-2016 nlidahiliwa ila nikashindwa kumaliza hata semister moja sababu ya matatizo nikajitoa kwenye system mwaka uhu ndo nimeapply upya na barua ya kupostpone nlishapeleka TCU mwezi wa 3Ila mkuu vigezo si vipo poa lakin kuanzia cheti cha form 4, AVN na GPA ?
Umepostpone semista halafu ukaaply tena ili iweje?AVN nnayo GPA 4.7 hapo kwenye 4 nlizingua nkaenda certificate then ndo huko nlikojua umuhimu wa elimu nkakaza ad hapo nlipofikia kuhusu coz ni kwamba diploma ya business administration na nkaomba bachelor za commerce ambazo mwaka 2015-2016 nlidahiliwa ila nikashindwa kumaliza hata semister moja sababu ya matatizo nikajitoa kwenye system mwaka uhu ndo nimeapply upya na barua ya kupostpone nlishapeleka TCU mwezi wa 3