Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Tanzania ina uzuri wa kijiografia na mambo mengineyo pia.....sasa leo nataka uweke jina la kijiji au eneo ambalo linafurahisha......
Mm kuna eneo linaitwa NAMANYERE.....sijui liliko ila nikilisikia tu mm hoiiiii
Mm kuna eneo linaitwa NAMANYERE.....sijui liliko ila nikilisikia tu mm hoiiiii