Majina ya vigogo wanaouza madawa ya kulevya

Majina ya vigogo wanaouza madawa ya kulevya

Nyinyi nyote waoga tu haya hebu leta hapa hiyo karatasi
1. Mzee mwenye nyumba
2. Kifungua mimba wake
3. Waziri wa vi...uuwii..auuwii...jamani saidia nauawa huku...aiuu...euuu...jamani saidia nateswa miee ila nimefanikiwa kumjua m1 wapo kat ya walonitesa anaitwa.. anaitwaa.. Jamani niokoeni mwenzenu wamenyofoa sikiooo..
 
Haya endeleeni kusoma aliyekuwa anawang'oa kucha na meno tumeshamkamata ni mkenya sasa somen haya majina kwa amani lakin msinikabidhi mimi.
 
watoto mshakuwa wengi na kila mtoto anataka kucheza hapa.
Kaazi kweli kweli.
 
Safi Sana. Sketch nzuri sana kama ingerekodiwa kwenye video. Mimi Camera nnayo ntarekodi bure, list tunayo, location kokote, msomaji tu anahitajika, nani atajitolea?
 
wanaobwia watengenezewe mazingira ya kuwataja wauzaji (ingawa ni ishu kwlkwli) na wanaouza watasaidia kuwataja waajiri wao(lakini ndo hivyo tena kung'olewa meno nk). Kilichobaki ni kuwa na akina Mzolewa tu wa nchi ya Giningi dhidi ya Bi Kirembwe, du! ingekuwa ukitaka kufa unabofya, na kufufukia nchi nyingine, habari ya kuwataja ingekuwa masimulizi tu. Wangetajwa, kukamatwa na kufungwa ama kunyongwa kabisa kwa sababu wanachafua hali ya hewa.

Jambo hili linaongezeka kwa kasi zaidi hivi karibu kwa sabb chache mfano: ukosefu wa ajira na kutaka shorcut achievements katika maisha, madawa yakikamatwa yanatajwa gharama zake, kwa mfano jana waziri kasema kete zenye uzito wa 1Kg ni 50mill, imagine ndo wewe unasikia hili utashawishika tu kufanya, japo kwa muda mfupi ili upate mtaji wa nguvu.

Kupunguza ama Kuzuia kwake, vijana wenyewe wajitambue tu, kama ni viongozi na wafanyabiashara wajitambue tu na wanchi wa kawaida wajitambue tu. Mwisho kabisa BIDHAA HII IPITIE TRA itakayosimamiwa na wazalendo tu.
 
:coffee: Leo nawasomea majina ya watu wote wanaouza unga, naanza na kigogo nambari one
ambaye ni............:Cry:. yalaaa nani tena kanimwagia tindikali sioni tena hapa.
Jamani chukueni karatasi muendelee kuwataja.

Mkuu usinitaje mi siuzi unga bali nauza mahindi
 
"basi baba sisomi mana umenitumbulia minjicho km vtunguu maji na listi yako chukua ila majina yote 3789 nmeyakariri"
mxiiiuuuuu!!
 
:coffee: Leo nawasomea majina ya watu wote wanaouza unga, naanza na kigogo nambari one
ambaye ni............:Cry:. yalaaa nani tena kanimwagia tindikali sioni tena hapa.
Jamani chukueni karatasi muendelee kuwataja.

daaah huku kwetu wauza unga wengi karibia kila duka tena hawa wanaouza unga wa mahindi na unga wa ngano ndo wengi sana
 
list yenu imenishinda lkn wauza unga ni hawa hapa kwetu
1)baba yangu mkubwa
2)mama anna
3)familia ya mushi coz hawa huachiana kuuza
4)huyu ndo balaa mpaka ikulu anafahamika na anaviwanda kabisaa na jina ni bakhresa mpaka kaanzisha na timu mm nasepa
 
:shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock:
 
:coffee: Leo nawasomea majina ya watu wote wanaouza unga, naanza na kigogo nambari one
ambaye ni............:Cry:. yalaaa nani tena kanimwagia tindikali sioni tena hapa.
Jamani chukueni karatasi muendelee kuwataja.

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Makunguru International school Mbeya.
 
Back
Top Bottom