Majina ya vigogo wanaouza madawa ya kulevya

Majina ya vigogo wanaouza madawa ya kulevya

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
:coffee: Leo nawasomea majina ya watu wote wanaouza unga, naanza na kigogo nambari one
ambaye ni............:Cry:. yalaaa nani tena kanimwagia tindikali sioni tena hapa.
Jamani chukueni karatasi muendelee kuwataja.
 
Ngoja niwasomee, moja, mbili, ta....... mamaaaaaa! nani ananyofoa kucha zangu. Naomben mwingine anipokee kwan cwez tena kushika karatasi.
 
moja, mbili, ta ...... mamaaaaaaaaaaaa, ameningoa meno!!!!!!!!!!!!!!!!!!:tape:
 
Nyie mnaogopa, nipeni mie hiyo karatasi ya majina!
Mamaaaaaaaaaaaaa...........nimepotea......jamani nimetekwa....sijui nimetokea wapi huku jamani...may day may day!!!
 
yalaaaaaaa we mamaa weeee naanza kusoma tu nime ng'olewa mapembeloooooo uwiiiiineeeeee...
 
Nipeni nisome wa kwanza ni m......mama mamaaa weee wamechapa viboko uwiiii uwiii
 
Ngoja nisome mimi!! Mamamaaaaaaa nimesonhiziwa kesi ya kubaka wanafunz miaka 30
 
Ndo maisha ya maigizo tuliyoko wayo waTZ
 
Ngoja ni wasome nambari one nimtoto wa kiwete anaitwa jina kapuni wapili ni mbunge wa ki nono
yalaa wameniloga nimechanganyikiwa cjui naongea nini
 
aah,nyie mnaogopaa nn kuwataja,kizazi ni chetuu nchi ni yetu,leta pepa niwaanikee laivuu,wa kwanza ni muheshmiwaa....,mamaaa karatasii ilee imechukuliwa na upepoo,hadi uchawii unatumika kah
 
Ngoja mimi niyabandike ukutani kila mtu aso.....yalaaaaah!Kitu chenye ncha kali begani kwanguuuu!
 
Naanza kusoma namba tu wameniPONDA hadi segerea.
 
Back
Top Bottom