Majina ya waliochaguliwa kwa ajili ya zoezi la sensa ..Mwanza

Lugano5

R I P
Jul 15, 2010
4,520
755
Jioni hii majina yametoka kwa walioomba nafasi za ukarani kwa ajili ya zoezi la sensa,yamebandikwa jiji jioni hii urasimu umegubika katika suala zima la kuteua majina wengi wameteuliwa kutokana na kujuanajuana ....kama na wewe ni mmojawapo ya watu walioomba nenda kaangilie ...nawasilisha
 
nmeona jina la john mnyika...vp mh. naye aliomba au ndio majina yanafanana
 
Back
Top Bottom