Sensa:serikali ya visasi,kinyongo,fitina,majungu nk yanyima walimu kusimamia sensa!!

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Serikali imefanya kioja kingine kwa kuwapiga chini walimu kusimamia zoezi la sensa
tofauti na sensa ziliopita ambapo walimu ndo walikuwa wadau namba moja.
Taarifa za ndani zinathibitisha kuwa hila hii wamefanyiwa walimu ili kukomolewa
kutokana na kugoma.

Swali:Mgomo wa walimu si ulikuwa unaratibiwa na CWT?
Sasa kwanini waadhibiwe walimu??

Wito:walimu mmegeuzwa na serikali hii km jalala na kwavile wao wameamua hivyo
Shikamaneni kwa kugomea sensa nasi wanafunzi wenu tutawaunga mkono.
Pili CWT wapozeni walimu hata elfu hamsini kila mmoja kutoka michango yao
ili kuwapa moyo mana ktk hali ya kawaida wanaweza wasishiriki mgomo
kwakuogopa serikali ya visasi kuwabania kwenye issue km za uchaguzi.

Hali halisi:nafasi za sensa zimegeuka mtaji kwa watendaji wa kata wanauza majina
Moja laki moja.
Ushauri:serikali iache visasi na mtimanyongo kwa walimu kwani wameonesha utii
wa sheria pale mahakama chini yajaji wa voda fasta kuharamisha mgomo
waalimu walisitisha mgomo.
 
uteuzi wa wasimamizi ni wa aibu hauna vigezo, wasimamizi wa sensa masharubaru wamepewa mwanya kuchagua mtu yeyote. Huku mawilayani vurugu tupu, barua za wasimamizi zinagongana wengine walifukuzwa kwenye mafunzo na barua mkononi.
 
Hivi hawa walimu si ndio walio isaidia ccm kushinda uchaguzi kwa kuchakachua kura zetu . Amakweli malipo ni hapa hapa duniani mbinguni hukumu.
 
Hivi hawa walimu si ndio walio isaidia ccm kushinda uchaguzi kwa kuchakachua kura zetu . Amakweli malipo ni hapa hapa duniani mbinguni hukumu.

mbona watakoma kuringa, halafu chaguo lao la Mungu a.k.a THE MOST DHAIFU aliwadhihaki eti "AKILI ZA MBAYUWAYU, CHANGANYA NA ZA KWAKO" ha ha haaa!!!!! amaa kweli, FUMBO MFUMBIE MJINGA, MWEREVU.........................
 
Back
Top Bottom