Majina ya miezi 12 ya mwaka kwa Kikerewe

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
2,605
2,000
 1. Omuhangara –Januari
 2. Omwiraguzu – Februari
 3. Omwero gw’ilima-Machi
 4. Omuhingo- April
 5. Kaboza-Mei
 6. Omwiraguzu gw’echanda (Omwiraguzu)-Juni
 7. Omwero gw’echanda au ikira lya bukene- Julai
 8. Bukene- Augusti
 9. Omutagato au Umuhunguru – Septemba
 10. Ekimezo au Omumerezi- Oktoba
 11. Kiswa- Novemba
 12. Olubigo-Desemba


Chanzo: Kiteleza Aniceti (1945) kamakilivyotafsiriwa na Gabriel Ruhumbika (2002)
Mr. Myombekere and His Wife Bugonoka, Their Son Ntulanalwo and Daughter Bulihwali: The Story of an Ancient African Community

1550384576523.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom