naona wazee wa niangalizie ndio wameamka sasa kazi kwako mkuu KISHINDO, Napenda kwa kipindi hiki nikuite THE CO-ORDINATOR
Majina yanayoanza na k ni mengi sana. Kama huwezi kutaja jina lako kamili its better uendelee kusinzia.
We Mhapa weweeeeeee!
kaka niangalizie charles ludovick
Niangalizieni majina yanayoanza na K kama Kulwa
UPO tarehe 17/04 Ukonga bwalo la Magereza.Kulwa peleka at Kishindo
Unatafuta lawama,taja jina lako mla kwanza upte jibu 'R' ni wengi sana.mkuu weka majina yanayoanza na herufi R
UPO, tarehe 16/04.kaka niangalizie charles ludovick