Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Habari wanajamii
Machache sana katika majina yapo nje ya border line as scanner yangu inaruhusu ukubwa wa A4 mwisho, na kukata page imeshindikana kutokana na limitation ya attachments jukwaani, page ya mwisho nimeikata vipande viwili sababu ina maelezo muhimu mwisho.
KILA KA KHERI..
 
Sajini na Konstebo majina hayo bado! Yaliyotoka ni Wakaguzi wasaidizi tu bana
 
Natumaini wote ni wazima, nawaomba mwenye taarifa yoyote kuhusu kutolewa kwa majina ya Sajini na Konstebo wa Jeshi la zimamoto na uokoaji anijuze.
 
kwa habar nilizopata nikwamba leo au kesho ndo natawekwa kwenye magazeti
 
Mkuu hebu nijuze hayo ya wakaguzi wasaidizi yametoka lini, gazeti gani? mwenye link naomba aweke hapa. Natanguliza shukrani........
 
Mkuu hebu nijuze hayo ya wakaguzi wasaidizi yametoka lini, gazeti gani? mwenye link naomba aweke hapa. Natanguliza shukrani........

Magazeti ya Habarileo,Daily news na Uhuru ya tar.12,machi 2014 na nyongeza ya majina magazeti hayohayo ya tar.17,machi 2014
 
majina hayo yana patika kwenye magazeti ya uhuru mwananchi na the gurdian chanzo 1 wa maofisa wa jeshi ilo
 
Majina yapo gazeti la uhuru............
Nashukuru jina langu limetoka😀😀😀:thumbup::thumbup::thumbup:😎
 
wale wadau wetu naona wamenyamaza kimya hata awana shauku ya kujua majina yao nadhani wamepata uhakika. usahili ni lini naomba msaada wenu
 
wale wadau wetu naona wamejamaza kimya hata awana shauku ya kujua majina yao nadhani wamepata uhakika. uashili ni lini naomba msaada wenu

majina yanayo azia na heruf A mpaka D ambaye ni ni denis pastory ni tarehe 16/04/2014 na D hadi H ambaye ni hassan a mungula ni tarehe 23/04/2014
 
Jumla yako majina yako 1,877. Interview itaanza tarehe 16 mpaka 28 April,2014. Zimamoto mwisho aisee. I salute them
 
Back
Top Bottom