Majina ya Makonstebo Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

naona wazee wa niangalizie ndio wameamka sasa kazi kwako mkuu KISHINDO, Napenda kwa kipindi hiki nikuite THE CO-ORDINATOR
 
naona wazee wa niangalizie ndio wameamka sasa kazi kwako mkuu KISHINDO, Napenda kwa kipindi hiki nikuite THE CO-ORDINATOR
 
We Mhapa weweeeeeee!

Sasa naamini ndipo vijana watagundua umuhimu wa kujiunga na maktaba pale bibi titi road, wangejisomea magazeti bure na kiyoyozi juu, nawapa pole wale wa mikoani maana sijui kama kuna branch za maktaba huko

mimi ni yuleyule uliyesema yawezekana nipo milembe. mchana mwema ndugu
 
wakuu naomba mniangalizie walioitwa kwenye usahili tar 24 jina la namba 96 maana gazeti nlilonunua pamefutika apaonekani vizuri
 
Niangalizieni majina yanayoanza na K kama Kulwa

KANTI SIMPLISI MSOFFE, KABANDA EVEREST,KARIM HUSSEIN BACHAL, KAZI M MGAZA..KASTOM FRANCIS ,KENNED MWASHILINDI, KENETH MWAKASIFU..KHALIDI SAIDI , KIGWASHO PAUL, KOWERO REWARDSON JAMES, KUDRA KASIM MASOUD , KULWA PELEKA....HAo ni kwa sajini a.k.a fom 6
 
naomba kujua gazeti la lini? pia niangalizie jina mohamed, issa said nafasi ya sajini
nitumie kwenye 0787 746316
 
Back
Top Bottom