Majina ya Kisukuma

Kasema, Buki Bululu, Ng'hingi, Wa Magembe, Mipawa, Manara, Lyaku, Matangazo, Maziku, Misana..........

Ng'wanangwa siyo JINA jamani ila ni Cheo.

Ni Watoto wa Chief ambao wanakuwa wamepewa kutawala vijiji vilivyo chini ya Himaya ya Chief wa eneo hilo.

Kwa mfano Sikonge ilikuwa chini ya Chief Lugusha na wale watawala wa vijiji kama Uta wa Mbogo, Utyautya, Tumbili, Kaniamsenga nk wanakuwa wanaitwa WANANG'WA.
 
Msituletee upuuzi hapa. Kama hamna la maana bora muende tu. Majina ya Kisukuma yamehusu nini humu. Eti wengine majina ya MAPUMBU wengine majina MAVUTU. Msituletee ukabila hapa JF. PUMBAFFFFF.
 
Kuna skulimeti wangu mmoja alikuwa anaitwa Lombiha Mashiguntwe
 
Msituletee upuuzi hapa. Kama hamna la maana bora muende tu. Majina ya Kisukuma yamehusu nini humu. Eti wengine majina ya MAPUMBU wengine majina MAVUTU. Msituletee ukabila hapa JF. PUMBAFFFFF.

ogundyaga miso gete gwaleho nkela.angu pumbafffff.nan'ho olojisoga neyo oye gete etuja yako onigwa nyandebhe?
 
Ngoshaombasa, Nounde, Masaga, Mang'ung'ula
Manungou-kontwe, Munhosana, Mahondola
ng'wanamayandakeya, kimilanzoka
Luhya-longi, Ng'wanantubanga, Magikiri
ng'wanatojo, Ng'ang'a, babele-nanke, Zozolo
Mabiti, Mbiti,Matingashi, Yeyeye, Makonomalonja, Gitoga
Nhawa, nyanza-igotaga
Busambiro, Masota, Magufuli, Budindi, Mbehoyang'ombe
 
Wanawake wa Kisukuma:kundi, Kabula, Minza, Nyanjige
Mbalou, Ntogwa (dear), Ng'washi,
nyanzala, manugwa, kweji, misoji,Lemi, Sundi,
Butogwa (lov), Mageni, Geni, Bugumba, Kudema
Mpelwa, Masalu, kwandu, Nyanzobe
Madokwa, Milembe,Soku, Mpejiwa, Nkwemba, Ntouji
 
Kasema, Buki Bululu, Ng'hingi, Wa Magembe, Mipawa, Manara, Lyaku, Matangazo, Maziku, Misana..........

Ng'wanangwa siyo JINA jamani ila ni Cheo.

Ni Watoto wa Chief ambao wanakuwa wamepewa kutawala vijiji vilivyo chini ya Himaya ya Chief wa eneo hilo.

Kwa mfano Sikonge ilikuwa chini ya Chief Lugusha na wale watawala wa vijiji kama Uta wa Mbogo, Utyautya, Tumbili, Kaniamsenga nk wanakuwa wanaitwa WANANG'WA.

Mkuu lakini Ng'wanangwa wanatumia Wanyantuzu kama Cheif
 
Msituletee upuuzi hapa. Kama hamna la maana bora muende tu. Majina ya Kisukuma yamehusu nini humu. Eti wengine majina ya MAPUMBU wengine majina MAVUTU. Msituletee ukabila hapa JF. PUMBAFFFFF.

Bengwe Globu zogo tulie manambu kama bele
 
Msituletee upuuzi hapa. Kama hamna la maana bora muende tu. Majina ya Kisukuma yamehusu nini humu. Eti wengine majina ya MAPUMBU wengine majina MAVUTU. Msituletee ukabila hapa JF. PUMBAFFFFF.
utakufa kabla ya wakati wako kwa msongo wa mawazo, relax ndugu usicomplicate maisha kiasi hicho, afu sio lazima usome na kucoment kila sred, heading yenyewe ilishakuonyesha ni ya ukabila ulisomea nini?
mie sio msukuma lkn najifunza mengi kupitia hii sred na nyingine za makibila mengine.
 
Back
Top Bottom