Majina ya Kisukuma

Majina ya Kisukuma

utakufa kabla ya wakati wako kwa msongo wa mawazo, relax ndugu usicomplicate maisha kiasi hicho, afu sio lazima usome na kucoment kila sred, heading yenyewe ilishakuonyesha ni ya ukabila ulisomea nini?
mie sio msukuma lkn najifunza mengi kupitia hii sred na nyingine za makibila mengine.

umesema ukweli.yaani jamaa alikuwa kakomaa ile mbaya!
 
Ng`wana maana yake mtoto wa,na Ifuzi ni ile hewa yenye harufu inayotoka kwenye makalio ya binadamu wakati mwingine kimyakimya au kwa sauti...umeelewa sasa...
 
kuna mwingine anaitwa LUJA. Mwingine MATANGO A GILIGITA yupo pia nchimani, na manyakenda
 
1.masunga
2.ng'wizukulu
3.ng'wichane.
4.paula
5maduhu
6.bundala
7.lusekelo.
8.magandula
 
Lukondya Mabiti
Mwanamajilaka
Mwanawande
Mbitiyaza
 
Emanuel Buzagi Koyano,
Amani Nzugile Jidulamabambasi,
Lutonja Lufwega,
Athony Damalu
 
Back
Top Bottom