Ni kweli ghuku,ni majina ya kiume..Niliyaweka hapa kumjibu yule bwana aliyeweka majina ya matusi kwamba ni ya kisukuma,ndo nikamwambia kwamba usukumani atakutana na majina kama hayo(ulikuwa ni muendelezo wa majina niliyoyataja juu kama inavyoonekana hapa chini
Quote:
bht
jina lake tuuu.....na hayo aloandika yapo usukumani!!!!!!
Kaamua kututukana tu huyo,usukumani hatuna majina kama hayo..Bali utakutana na majina kama Magufuli(Makufuli),Milyango,Madirisha,Fungameza n.k