kalunde...
kashinde......mtoto wa kike alietangulia miguu wakati wa kuzaliwa
nyamizi... first born msichana.........
minza........
jamani muwe mnaweka na maana yake ili kusaidia wengi.
uzuri wa jina ni maana yake.
Ismael,
Pana wakati ndugu yake Mwandishi wa vitabu na yeye pia anaitwa katalambula aliniandikia hiki kisa ingawa nilishakisikia zamani kabla yake;
"Baba kanunua balls za ng'ombe na kuamua kuzibanika nyama choma. Akatembelewa na rafiki zake na hivyo akamwacha kijana wake akizichunga. Ghafla akiwa kwenye mazungumzo, kijana kaja mbio mbele ya wageni huku akipiga kelele ..........Baba, mat*nya ginywe gaziga................."
Bana Nyamizi naipendaga sana bee!!!mungule
nyamizi
kwangu
............
Mavio
kimbao
mkojoo
hajakubwao
kinyesio
.....Kabula!Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Code:Code:
Mavio
kimbao
mkojoo
hajakubwao
kinyesio
Ndugu hilo jina lako hilo....mboni balaa
jina lake tuuu.....na hayo aloandika yapo usukumani!!!!!!
Kaamua kututukana tu huyo,usukumani hatuna majina kama hayo..Bali utakutana na majina kama Magufuli(Makufuli),Milyango,Madirisha,Fungameza n.k
Kaamua kututukana tu huyo,usukumani hatuna majina kama hayo..Bali utakutana na majina kama Magufuli(Makufuli),Milyango,Madirisha,Fungameza n.k
Pia utakuta majina ya Manumbu, Nyanda, Ndama, Mahulu, Sayi, nk.
Matovolwa,Maduhu,Mabele,Magaka,Masunga.....
Madoke, Ng'halanga, Makubi au Makube, Walwa, Minze, Mashiku, Ng'waka, Mayunga, Mabula,
shem mabula maana yake nini na Kabula je maana yake?
shem mabula maana yake nini na Kabula je maana yake?