Majina ya jf bwana, hataaaree

Majina ya jf bwana, hataaaree

Nikaona ngoja nirudi timu yangu pendwa nikaangalia jina lenye mvuto kwenye mpira nikakuta Mesut Ozil ndio lenye mvuto nikachukua
MO kisha nikaongezea namba anayovaa mgongoni 11

Nikaona ni jina ni fupi na rahisi kutambulika lipo kipekee herufi mbili na namba mbili

nikasema hili ni jina nitakalo tumia kila niingiapo nikala na kiapo cha sitofungua id nyingine zaidi ya
MO11

Nimependa ubunifu.
 
Last edited by a moderator:
MO11 mm npo nasomaga tu nakupita kimyakimya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom