majina ya humu noma

Sitosahau siku nilipotongoza dume lenzangu humu ndan mi nikidhan ni mrembo kumbe jina 2 lilinichanganya
jamaa alinitus ile mbaaya had asaiv naogopa kuingia humu.

Ukware tu! Nyoooo!.
 
haa haa haa jf raha kweli kweli; pole mkuu siku nyingine uwe makini.
 
...........afu eti kisa nilikusalimia tu Rich woman. Ngoja nisiwamention wasije kukuletea maandamano! BTW mambo mrembo.....!!

yani ilibidi niondoke kimyakimya halafu ni Erickb52 huyo ndo aliwaita...mi mzima naendelea kung'ara tu ndani ya jiji lenye joto 24/7
 
Last edited by a moderator:
Sitosahau siku nilipotongoza dume lenzangu humu ndan mi nikidhan ni mrembo kumbe jina 2 lilinichanganya
jamaa alinitus ile mbaaya had asaiv naogopa kuingia humu.

pole sana katika zile id 22 za Asprin ukaingia mkenge moja hivi na wewe unaanzaje kutongoza humu?unapenda jina avatar au nini?
Mijitu mikware bwana utaijua kutwa wanataka washushe suruali
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…