Acha kutudanganya wewe,hiyo ni guest moja bubu haina jina iko uchochoro unaoelekea PATAYA GUEST HOUSE pale maeneo ya ubungo riverside.kilichopo pale ni kengere iko pale mlangoni,ili kutoa maelekezo kwa wateja wao wameandika bonyeza hapa wakimanisha kengere.Pale hamna bia inayouzwa.