blackwizard
Senior Member
- Feb 8, 2012
- 163
- 24
mpaje mpajue, ziro pub, who told you that, if me not you
oi Mkuu Umenikumbusha zamani sana hii Bar Chini ya Muti nilishakula Nyama Choma Bomba sana miaka ya 1994/5 bro wangu ni Guide basi kila akirejea huznguka sana kutafuta marafiki zake siku ikatokea Rafiki zake wapo hapo Chini ya Muti...chini ya muti
Kuna ****** bar, cjawah iona ila nackia ipo arusha hat clouds fm walishawah ongelea iyo...
lete majina ya bar au pub yachekeshayo
njia ya tandale kuna shikamoo bar imepakana na marahaba bar , mburahati kuna simba kapakatwa pub! Lete
Pia Glocery yenye jina kama hilo ipo Stendi ya Dom
Mat...ko bar iko mianzini arusha!
kuna MICHUM PUB, FACEBOOK PUB, UTAM PUB, KOTE KOTE PUB, WA KULIWA PUB, NDONDO PUB, MIKUMI PUB, LA KUCHUMPA PUB...............