rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,327
- 5,601
Nisianze kuwwchosha wanaJF. Ebu angalia majina haya na sehemu. Hivi kweli Mto NGONO uliopo Bukoba ungeendela mpaka Pwani jina lingebadila? Je unaweza kujenga CASINO Bukoba mjini ukapata wateja. Je basi la KISWELE lingepaki Kigoma stendi lingepata abiria? Je ile sehemu inayoitwa SENGE ya Singida ingekuwa Dar na Dalala lingesha abiria pale maanake wangeuli wale -------..
?? Nani angeshuka. Kuna watu wanaitwa KAMANA je Bukoba wangepata kazi??
?? Nani angeshuka. Kuna watu wanaitwa KAMANA je Bukoba wangepata kazi??