Kwa tuliopitia primary na secondary enzi za mkapa kurudi chini, ilkuwa kama fashion, Kila mwanafunzi alitamani kumiliki "mkebe" au "compass" (geometry box) Japokuwa wengi wetu hatukuwai kuzitumia achilia mbali kujua vifaa vilivyomo na kazi zake....
Taja kifaa kimojawapo na Kazi zake....
Taja kifaa kimojawapo na Kazi zake....