Majina mengine bwana

Majina mengine bwana

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
304941_10151120529474504_502472359_n.jpg
 
Hapo lazima kuna bakora za kufa mtu... ogopa majina kama hayo kama ndo unaenda kujiunga hapo
 
How come shule moja, mazingira yaleyale, logo ile ile....lakini majina tofauti?
 


​
Huenda ni mimi ndie nalitafsiri jina la hii shule ndivyo sivyo, maana mmmh...Au labda lina maana fulani kwa wenyeji wa mkoa wa Singida.


​
Hii shule sina hakika kama iko Tanzania.


​
Huyu nimemuelewa,majina mengi ya kijapani huwa ni ya ajabu ajabu tukiyapeleka kwenye kiswahili.Sidhani kama hizi pikipiki zingekuwa zinatengenezwa Tanzania mmliki angethubu kuzipa jina la namna hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom