majina mengine bana mh........?

Duh...hiyo ya kwanza...ni balaa....tumeshazoea kusema wanafunzi wa Uhuru,....wanafunzi wa jitegemee....hii itakuwa wanafunzi *******!!!!
 
Hahahahahaaa🙂 Asante sana JF kwa kunipatia boost katika BLUE MONDAY🙂
 
Hiyo bodaboda Jinyee nimeiona live, ingawa mwanzoni nilidhani ni Photoshop. Zipo hizo bodaboda hapa uswazi
 
Kuna shule huko Maswa inaitwa KUMALIJA
 
teh teh teh !!! Jinyee???? Hiyo make ya boda boda bado haijaingia kwetu.
 
Binafsi sioni shida yoyote na majina haya ya jirani zetu wa Kenya. Tatizo ni wewe mwenyewe pale unapoanza kutafsiri kwa lugha ya kwako!
 
Haaaaaaaaaa Jinyeeeeee tu!!! Sasa ukienda Japan si ndio utazimia.
 
Dah!asanteni kwa kunichekesha lol!hahahahhahhah!
 
Duh...hiyo ya kwanza...ni balaa....tumeshazoea kusema wanafunzi wa Uhuru,....wanafunzi wa jitegemee....hii itakuwa wanafunzi *******!!!!
Je kwa mfano Walimu wa shule ya Mwenge SS na wa shule hiyo wametembelea Bunge letu tukufu, hebu nisaidieni jinsi mama wa Njombe atakavyowatambulisha baada ya kuwatambulisha "Walimu wa Mwenge SS wasimame tuwaoneeeeee".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…