Ronaldo de Assis Moreirra comonly known as Santa Ronaldinho Gaucho...ambae inaaminika kuwa awapo uwanjani basi Malaika huacha shughuli zao na kumuangalia anapotambulisha chenga na skills mpya toka Mbinguni.
Inaaminika pia Kama mpira ungekuwa na mdomo basi ungeomba upelekwe kwa Dinho kila wakati ili wenyewe ukafurahi na mtoa thread nae afurahi...
Vicha alikuwa golikipa hodari wa timu ya shule. Yuko wapi siku hizi? Second-Master alikuwa akipenda kulitamka jina kamili la Asanterabi. Nilisikia mwenzetu Asanterabi alitutangulia mbele za haki. Alale kwa amani.