Majina mapya ya wadada wenye wowowo kubwa...

Basi bwana, tukadondoka Moshi Mjini kufuatilia vitu flani hivi amazing nini,

Kushuka kwenye gari tunatembea na dadangu tukasikia wanaume wanasema:
"Engeneer Soma iyoooo!!, We Engeneer ngapiiii iyooo?!"

Nikacheka sana, nikawaza kwa kujiuliza kwani sikuhizi wadada wenye wowowo kubwa wanaitwa Engeneer soma iyo au?!

Unajua nimekaa sana ndani sielewi misemo mipya ya mtaani tena!

Embu nipeni Mapya bado naomboleza msiba wa mama yangu
Ila ya Engeneer yamenishangaza!

Bila ka picha kako Cha nyuma Basi itabidi ili tangazo ukalilipie engineer
 
Basi bwana, tukadondoka Moshi Mjini kufuatilia vitu flani hivi amazing nini,

Kushuka kwenye gari tunatembea na dadangu tukasikia wanaume wanasema:
"Engeneer Soma iyoooo!!, We Engeneer ngapiiii iyooo?!"

Nikacheka sana, nikawaza kwa kujiuliza kwani sikuhizi wadada wenye wowowo kubwa wanaitwa Engeneer soma iyo au?!

Unajua nimekaa sana ndani sielewi misemo mipya ya mtaani tena!

Embu nipeni Mapya bado naomboleza msiba wa mama yangu
Ila ya Engeneer yamenishangaza!

Unataka kutuaminisha kuwa una kalio kubwa wakati flat screen, hatuingii mkenge kirahisi hivyo jipange upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom