Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #101
Uuuuuwi hahahahaahEngineer! Soma hiyoooooo......poa poa mtoto mzuri east Afrika na kati na jangwa la zahara!
Weweee nashukuru
50 iyoooo
Uuuuuwi hahahahaahEngineer! Soma hiyoooooo......poa poa mtoto mzuri east Afrika na kati na jangwa la zahara!
Uuuwi
Msiba wa nan kwanzaMh! We huna machungu ya msiba
HahahahahaNjoo inbobo kuna mtu hapa anapenda watu wenye wowo kama wewe.
Biashara matakangazo hasa FB an Insta
MamaMsiba wa nan kwanza
plate numberBasi bwana, tukadondoka Moshi Mjini kufuatilia vitu flani hivi amazing nini,
Kushuka kwenye gari tunatembea na dadangu tukasikia wanaume wanasema:
"Engeneer Soma iyoooo!!, We Engeneer ngapiiii iyooo?!"
Nikacheka sana, nikawaza kwa kujiuliza kwani sikuhizi wadada wenye wowowo kubwa wanaitwa Engeneer soma iyo au?!
Unajua nimekaa sana ndani sielewi misemo mipya ya mtaani tena!
Embu nipeni Mapya bado naomboleza msiba wa mama yangu
Ila ya Engeneer yamenishangaza!
Uuuwiplate number
Mama amelala katika bwanaMama
HeheMi juzi nikapita kuna jidada alikua mbele nikasikia unaona maini tulicheka
Sent using Jamii Forums mobile app