Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #21
HahahaInchi 10 mkuu
HahahaInchi 10 mkuu
Umenipima au?We mbona huna wowowo
Labda huyo dadaako
Hahaha
5 mheshimiwa 5
Asante rafiki
Ngapi iyooooSorry
Na test mitambo
Nilishawahi kukuona liveUmenipima au?
Ushawahi niona live au?
HeheDada yako nilisoma nae long time..alikuwa mstaarabu sana japo WO-WO-WO lake lilikuwa Gumzo..
Pls nitumie namba yake nimuhoji jambo muhimu
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaNilishawahi kukuona live
Ila si haba
Basi atakuwa mwingineHapana
Nimeingia Tz mwaka huu 2019 tangu miaka 20 iliopita
Labda ulimwona Pacha wangu
Mimi hunijui
Basi bwana, tukadondoka Moshi Mjini kufuatilia vitu flani hivi amazing nini,
Kushuka kwenye gari tunatembea na dadangu tukasikia wanaume wanasema:
"Engeneer Soma iyoooo!!, We Engeneer ngapiiii iyooo?!"
Nikacheka sana, nikawaza kwa kujiuliza kwani sikuhizi wadada wenye wowowo kubwa wanaitwa Engeneer soma iyo au?!
Unajua nimekaa sana ndani sielewi misemo mipya ya mtaani tena!
Embu nipeni Mapya bado naomboleza msiba wa mama yangu
Ila ya Engeneer yamenishangaza!
Basi atakuwa mwingine
Kwa hiyo wewe una bonge la wowowo?
Asante Mami
HahahahaNaomba uniunganishe na huyo dada ako nimshone!
Umekutana Na yapi?Nimejaribu ku-google jina lako nlokutana nayo daaaah!!!
Wewe jaribu kuchungulia tu "Into money penny"Umekutana Na yapi?
Lete picha tuone
Huko utaumiaWewe jaribu kuchungulia tu "Into money penny"
Kwahiyo Jina lako halina uhusiano wowote na nilichokishuhudia?Huko utaumia
Angalia money stars utaniona