Majina Maarufu ktk Makabila.

Last edited by a moderator:
Ah wapi hela haitoki.
Mwache aje nimstue nyonga yake.
Na mwambie tena Ole Aguse kitasa changu,
wallah dadio atarudi hana Kiungo hata kimoja.
Afu hubby wangu Arushaone na shem wangu Filipo wapo,atakomaje thatha jamani!

Na ujumbe huu umfikie Chivumbu popote aliko Kivu ya mashariki, DRC!
 
Last edited by a moderator:
Kuna baadhi ya majina yako so common katika baadhi ya makabila. Yaani huwezi kukosa ukoo mzima kukosa jina hilo. Mfano;

Ladislaus- Wachaga
Laizer- Wamasai

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

embu nijibuni hili jina ''KATUNGUNYA'' ni kabila gani hapa tz??
Unajua linanichanganyaga
 

Mie si mzungu, nitake radhi. Mie ni kidonge cha kutuliza maumivu hasa kwa wanawake waliotoka kujifungua.

Maskani yangu ni Martenity Ward.

Sasa waweza rudi nyuma uedit ujinga uliouandika kabla sijamfanyia mkeo mgomo pindi atakapojifungua.
 
Hili la kwanza ni la kidhungu lakini hili la pili ni la KIkongo!!!

heee basi mi nilijua nyie ndio wale wachina wa mtaa wa Swahili pale K'koo maana nao wanaitwa hivyo hivyo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…