Majina gani unique au ya ajabu JF

Majina gani unique au ya ajabu JF

Mjini chai, nimeitafuta weeee sijaiona nimekuja ipata kwa mama ntilie kikombe jero wakati kijijini nakunywa bure.
 
mm namkubali sana kaka jambazi hadi wakina musa na kibonde wanamtajaga kwenye jahazi au mwenye hyo id yupo clous wanamjua?

Mkuu ningekua clouds, wangeshanifukuza, make mi ni CHADEMA.

Afu kuchapwanao ni matusi aisee, sijui kwanini ID yako imeruhusiwa humu.
 
Mkuu ningekua clouds, wangeshanifukuza, make mi ni CHADEMA.

Afu kuchapwanao ni matusi aisee, sijui kwanini ID yako imeruhusiwa humu.

mkuu neno lolote ni tusi kutokana na definition utakalolipa kwenye kichwa chako PIA NA WEWE UNATAKIWA UKAMATWE HARAKA NA POLISI.........
 
yupo yule jamaa anayejiita MBUNYE 84. yule ni respect.
 
Back
Top Bottom