Majina gani unique au ya ajabu JF

Majina gani unique au ya ajabu JF

MimiMEEE, mwingine anaitwa Benokolongokonongose
 
Mjini chai, nimeitafuta weeee sijaiona nimekuja ipata kwa mama ntilie kikombe jero wakati kijijini nakunywa bure.
MJINI CHAI kwa maana ya Mjini Pesa.......Kiu cha Macho......mkuu....
 
Kuna jamaa anaitwa
Benokolongokonongose sijui kama nimepatia. Hilo jina ukilitmka kwa mara ya kwanza unaweza kusababisha ajali ya ulimi.
 
Last edited by a moderator:
Muenezaji maarufu wa malaria aliye-advance sasa anatoa dozi ya Dengue aitwaye Mbu a.k.a #Mosquito ndiye role model wangu.

Watu wote pigeni keleleeee!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jf hatar sn,hata viongozi wakubwa ktk kila idara wanatumia ID za ajabu ilimradi tu wayapate ya humu.
 
Back
Top Bottom