Majina gani unique au ya ajabu JF

Majina gani unique au ya ajabu JF

Na somebody UNAchapwa nao mods hili jina hamkuliona kama ni biased?
 
Last edited by a moderator:
sunola......le mutuz....katavi yetu,ifyeero...kaka jambazi,......unachapwa nao. Duuh nahisi hawa ni tabu na ID nyingi kibao.
 
Funza dume, Kadoda(hili jina la kingoni)
Mbunye84,Kibanga Ampiga Mkoloni.
 
mpiga msuli...hahahaa huyu ananikumbusha enzi za A-level, wale wenzangu wa PCM,PCB,PGM..... na wakuu wote wa kupiga msuli.
 
Back
Top Bottom