Majina gani unique au ya ajabu JF

Majina gani unique au ya ajabu JF

Kuna bingwa anaitwa " unachapwa nao" . humu
 
Moderator hongereni kwa kutoa dozi sahihi ya BAN kwani huu ugonjwa ni mkubwa sana...
 
Last edited by a moderator:
Mi namkubali #EvelynSalt jina simple, mtoto mzuri kajaaliwa na Mwenyezi Mungu Uzuri ambao yamkini mwenyewe mimi tu Mungu ndo kanionyesha dah....Mwacheni Mungu aitwe Mungu yaaani.
 
Mi namkubali #EvelynSalt jina simple, mtoto mzuri kajaaliwa na Mwenyezi Mungu Uzuri ambao yamkini mwenyewe mimi tu Mungu ndo kanionyesha dah....Mwacheni Mungu aitwe Mungu yaaani.

Mmk anko Eve hebu njoo kibande hii usibitishe hii
 
mkuu neno lolote ni tusi kutokana na definition utakalolipa kwenye kichwa chako PIA NA WEWE UNATAKIWA UKAMATWE HARAKA NA POLISI.........

Maana ya kitu ipo kwa walioipa maana hiyo.kwa wengine inaweza isiwe na maana au ikawa na maana tofauti kabisa.hivyo u r right (symbolic interactionism)
 
Back
Top Bottom