Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

Sijawahi penda jeshi. Nakumbuka nilitoroka JKT.😂😂😂😂ila utoto raha sana.
 
ukimaliza unaondoka navyo,lakini wengi huwaachia Walimu wao tu,sasa wewe umemaliza Depo Tanga kisha unapangiwa Kituo cha Kazi Lindi,utabeba Shoka,Panga au Ndoo mpaka Lindi??
Bado unalipwa posho ya kujikimu siku 14 na nauli hadi kituoni, utabeba magodoro na mandoo machafu?[emoji23]
 
Tabu sana Ndugu,Mama kajitahidi sana kuajiri vijana kwenye Vyombo vya Ulinzi ndani ya hii miaka miwili,Uhamiaji hawa wanaenda 500,Polisi wiki ijayo nao watachukua vijana zaidi ya 1500,Magereza nao wameshaanza Usaili wiki hii na hapo bado kuna vijana wengine wapo Depo ya Magereza wanaendelea na Mafunzo, TAKUKURU nao wiki ijayo wanaanza kuita vijana kwenye Usaili,lakini bado mtu analalamika vifaa vya Laki Nne kwamba Pesa ni nyingi daah[emoji134]wakati hivyo vifaa anaenda kuvitumia kijana mwenyewe na akimaliza Depo anaruhusiwa kuondoka navyo
Na kila mwezi analipwa posho elfu 50, kwa miezi tisa atakayokaa depo atakuwa kapewa 450, bado kula bure. Bado atamaliza, atapewa posho ya kujikimu perdiem ya siku 14 sawa na nauli kwenda kituoni. Hata kama ni CCM lakin watu tuwe na shukrani
 
Watu wataenda ila hii ni aibu mno aiwezekani ww ndo unajiri alafu unaemuajiri unataka aje na mahitaji lukuki laki mbili inafika hapo

Bima 50400
Kupima afya 20000
Shoka 10000
Panga 10000
Rain boot 50000
Sanduku la chuma 30000
Track suti 30000
Bukta 5000
Tshart 5000
Raba viatu vya michezo 20000
Viatu nazifu moka nyeusi 30000
Nguo nazifu wakimanisha suluali na shati hapa 20000
Suluu 15000
Mashuka 20000
Godolo 60000
Ndoo ndogo 5000
Ndoo kubwa 8000

Jumla hapa ni laki tatu na upuuzi uko inakimbilia laki 4 sasa kwa mtu ambae anatokea vijijini hapa pesa ndo anatafuta ajira anaipatia wapi iyo???

Watu wataenda ila hii ni aibu mno aiwezekani ww ndo unajiri alafu unaemuajiri unataka aje na mahitaji lukuki laki mbili inafika hapo

Bima 50400
Kupima afya 20000
Shoka 10000
Panga 10000
Rain boot 50000
Sanduku la chuma 30000
Track suti 30000
Bukta 5000
Tshart 5000
Raba viatu vya michezo 20000
Viatu nazifu moka nyeusi 30000
Nguo nazifu wakimanisha suluali na shati hapa 20000
Suluu 15000
Mashuka 20000
Godolo 60000
Ndoo ndogo 5000
Ndoo kubwa 8000

Jumla hapa ni laki tatu na upuuzi uko inakimbilia laki 4 sasa kwa mtu ambae anatokea vijijini hapa pesa ndo anatafuta ajira anaipatia wapi iyo???
Kwa staili io itoshe kusema UT ni kama halmashaur tu amna maisha uwez kuwaita watu mafunzoni ukawaamuru watoe michango yote hio
 
Back
Top Bottom