Fauya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 315
- 575
Haahahaa sawaaaChief ulipitia JKT?
Unajua maana ya ronja.
Haahahaa sawaaaChief ulipitia JKT?
Unajua maana ya ronja.
Haahahaa sawaaa
Asante sana mkuu. Mapambano hadi mwisho wa uhaiHongera sana chief nenda kapambane
NI system imebadilika hivi majuzi hata wanaoenda kozi za vyeo wanaenda na net na mashuka na mahitaji mengine piaKweli ajira ni tatizo kubwa.... leo kwenda depo, unakwenda na mahitaji yako mwenyewe
Vijana wakiwa Depo ni LAZIMA walipwe Posho kila mwisho wa Mwezi,wanapanga foleni kwa wakuu wao wa Kombania wanasaini,waliomaliza Depo za mwaka jana(Polisi,Uhamiaji na TAKUKURU walikuwa wanalipwa),hata hawa walio Depo Magereza sasa hivi wanalipwa 50,000 kila tarehe 30 ya mwezi.
ukimaliza unaondoka navyo,lakini wengi huwaachia Walimu wao tu,sasa wewe umemaliza Depo Tanga kisha unapangiwa Kituo cha Kazi Lindi,utabeba Shoka,Panga au Ndoo mpaka Lindi??
Kabisa , muungano wa kipumbavu huunaomba niulize kwenye huu usaili ambao umeleta huu mkeka, bara na visiwani ni 50 kwa 50 au ni ratio gani wanatumia?
kama ni hivyo nachelea kusema huu muungano ni kichomi maana kwa idadi ya 59M ya Bara kwa 2m ya Visiwani lazima mmoja aumie
Takukuru deadline si ílikuwa trh 10 juzi tu mkuu, inawezekana wakaita next week kweli🤔Tabu sana Ndugu,Mama kajitahidi sana kuajiri vijana kwenye Vyombo vya Ulinzi ndani ya hii miaka miwili,Uhamiaji hawa wanaenda 500,Polisi wiki ijayo nao watachukua vijana zaidi ya 1500,Magereza nao wameshaanza Usaili wiki hii na hapo bado kuna vijana wengine wapo Depo ya Magereza wanaendelea na Mafunzo, TAKUKURU nao wiki ijayo wanaanza kuita vijana kwenye Usaili,lakini bado mtu analalamika vifaa vya Laki Nne kwamba Pesa ni nyingi daah[emoji134]wakati hivyo vifaa anaenda kuvitumia kijana mwenyewe na akimaliza Depo anaruhusiwa kuondoka navyo
Acha ubaguzi ni nani aliesema 50 by 50.naomba niulize kwenye huu usaili ambao umeleta huu mkeka, bara na visiwani ni 50 kwa 50 au ni ratio gani wanatumia?
kama ni hivyo nachelea kusema huu muungano ni kichomi maana kwa idadi ya 59M ya Bara kwa 2m ya Visiwani lazima mmoja aumie
Mie nasubiria kuitwa kwenye usaili hizi za TAKUKURU piaTakukuru deadline si ílikuwa trh 10 juzi tu mkuu, inawezekana wakaita next week kweli🤔
Kila la kheirMie nasubiria kuitwa kwenye usaili hizi za TAKUKURU pia
Mshahara ni kiasi gani hivi?Vijana wakiwa Depo ni LAZIMA walipwe Posho kila mwisho wa Mwezi,wanapanga foleni kwa wakuu wao wa Kombania wanasaini,waliomaliza Depo za mwaka jana(Polisi,Uhamiaji na TAKUKURU walikuwa wanalipwa),hata hawa walio Depo Magereza sasa hivi wanalipwa 50,000 kila tarehe 30 ya mwezi.