Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

Majina 500 ya Vijana waliochaguliwa Uhamiaji

Sasa mbona mahitaji ya mtu kwenda nayo ni mengi sana iyo kazi au balaa vitu vyote hivyo hivi hawana budget hawa ya askari wapyi au ndo upigaji yani mtu unataka umuajirivww mpaka kupima unamlipisha elfu 20 bima nayo unamlipisha aloooh hii nchi ni shida kwaiyo mna wajiri ili muwape mishahara tuu basi????lkn vifaaa ya mafunzo na vitu vingine wajitegemee hapo mpaka chakula wangetaka wajitegemee ila wameshindwa kwenye chakula tu.
 
Hayo mahitaji hata Tsh.Laki Mbili haifiki.Na kumbuka kule Depo watalipwa Posho kila mwezi,kula bure tena chakula kizuri na kisha wanaingia kazini, sasa ulitaka mpaka Ndoo za kuogea wao wenyewe wapewe bure na Serikali?

Unafaa kumshukuru Mama kwani katika kipindi chake amemwaga sana Ajira kwa vijana kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama
 
Hayo mahitaji hata Tsh.Laki Mbili haifiki,kama hutaki waambie wabaki mtaani basi
Watu wataenda ila hii ni aibu mno aiwezekani ww ndo unajiri alafu unaemuajiri unataka aje na mahitaji lukuki laki mbili inafika hapo

Bima 50400
Kupima afya 20000
Shoka 10000
Panga 10000
Rain boot 50000
Sanduku la chuma 30000
Track suti 30000
Bukta 5000
Tshart 5000
Raba viatu vya michezo 20000
Viatu nazifu moka nyeusi 30000
Nguo nazifu wakimanisha suluali na shati hapa 20000
Suluu 15000
Mashuka 20000
Godolo 60000
Ndoo ndogo 5000
Ndoo kubwa 8000

Jumla hapa ni laki tatu na upuuzi uko inakimbilia laki 4 sasa kwa mtu ambae anatokea vijijini hapa pesa ndo anatafuta ajira anaipatia wapi iyo???
 
Sasa mbona mahitaji ya mtu kwenda nayo ni mengi sana iyo kazi au balaa vitu vyote hivyo hivi hawana budget hawa ya askari wapyi au ndo upigaji yani mtu unataka umuajirivww mpaka kupima unamlipisha elfu 20 bima nayo unamlipisha aloooh hii nchi ni shida kwaiyo mna wajiri ili muwape mishahara tuu basi????lkn vifaaa ya mafunzo na vitu vingine wajitegemee hapo mpaka chakula wangetaka wajitegemee ila wameshindwa kwenye chakula tu.
Tulia wewe.
Hayo mahitajio yaliorodheshwa anaenda kuyatumia nani ?
Sisi wanafunzi wenyewe?
Unataka nani agharamie kama sio wao
Wao mbona safi tu watalipia
 
Hayo mahitaji hata Tsh.Laki Mbili haifiki.Na kumbuka kule Depo watalipwa Posho kila mwezi,kula bure tena chakula kizuri na kisha wanaingia kazini,sasa ulitaka mpaka Ndoo za kuogea wao wenyewe wapewe bure na Serikali?unafaa kumshukuru Mama kwani katika kipindi chake amemwaga sana Ajira kwa vijana kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama

Sidhani kama watalipwa.
 
Watu wataenda ila hii ni aibu mno aiwezekani ww ndo unajiri alafu unaemuajiri unataka aje na mahitaji lukuki laki mbili inafika hapo

Bima 50400
Kupima afya 20000
Shoka 10000
Panga 10000
Rain boot 50000
Sanduku la chuma 30000
Track suti 30000
Bukta 5000
Tshart 5000
Raba viatu vya michezo 20000
Viatu nazifu moka nyeusi 30000
Nguo nazifu wakimanisha suluali na shati hapa 20000
Suluu 15000
Mashuka 20000
Godolo 60000
Ndoo ndogo 5000
Ndoo kubwa 8000

Jumla hapa ni laki tatu na upuuzi uko inakimbilia laki 4 sasa kwa mtu ambae anatokea vijijini hapa pesa ndo anatafuta ajira anaipatia wapi iyo???

Wakimaliza wanaondoka navyo?? Au vinabaki kambini
 
Binadamu wasivyo shukrani hili pia wanalilalamikia..yaani ngozi nyeusi mtihani sana..
Tabu sana Ndugu,Mama kajitahidi sana kuajiri vijana kwenye Vyombo vya Ulinzi ndani ya hii miaka miwili,Uhamiaji hawa wanaenda 500,Polisi wiki ijayo nao watachukua vijana zaidi ya 1500,Magereza nao wameshaanza Usaili wiki hii na hapo bado kuna vijana wengine wapo Depo ya Magereza wanaendelea na Mafunzo, TAKUKURU nao wiki ijayo wanaanza kuita vijana kwenye Usaili,lakini bado mtu analalamika vifaa vya Laki Nne kwamba Pesa ni nyingi daah[emoji134]wakati hivyo vifaa anaenda kuvitumia kijana mwenyewe na akimaliza Depo anaruhusiwa kuondoka navyo
 
Back
Top Bottom