Majimbo yatakayopotea kwa chadema 2015,wape ushauri

Ninyi hamjasoma katiba mpya inavyopendekezwa majimbo yawe. Majimbo yatakuwa saizi kama mikoa. Fikiria wabunge wote wa Mbeya ( kuanzia mwakyembe hadi Sugu) atoke mbuge 1 mwanaune na mwanamke 1. Hizi sura zote zitapotea bila kujali CCM au CDM. Kuna mikoa moto utakuwa mkubwa sana mfano Kilimanjaro ; Mwanza, Kagera nk. Wengi watapumzika kabisaa kwa umri au kuogopa ligi.
Kwa bunge lipi unaloongelea? Jaribu kufafanua mkuu au kama hujui ngoja tukusaidie. Kwa bunge la muungano hapo sawa, lakini kumbuka kutakuwa na bunge la Tanganyika ambalo majimbo yake yatabaki kama yalivyo kwa sasa. Hata leo Warioba kwemye hotuba yake kasema kuwa idadi ya wabunge itapungua kwa upande wa wale wa kuteuliwa tu, hivyo basi kama ingekuwa kama unavyotaka kutuaminisha basi angesema hata hili la kwako. Hivyo mkuu usituchanganyie madesa hapa!!
 
Ninyi hamjasoma katiba mpya inavyopendekezwa majimbo yawe. Majimbo yatakuwa saizi kama mikoa. Fikiria wabunge wote wa Mbeya ( kuanzia mwakyembe hadi Sugu) atoke mbuge 1 mwanaune na mwanamke 1. Hizi sura zote zitapotea bila kujali CCM au CDM. Kuna mikoa moto utakuwa mkubwa sana mfano Kilimanjaro ; Mwanza, Kagera nk. Wengi watapumzika kabisaa kwa umri au kuogopa ligi.

Hiyo ni katiba ya Tanzania na siyo ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom