sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Anaanza "mimi ndo msanii pekee ninayefanya Hip Hop, wengine sijui wanafanya nini" anaendelea "namsaka mwanangu roma naona kapotea" anaenda mbali zaidi anasema "hivi lile goli kala alipatia?".
NOTE: Huyu jamaa ataacha lini kujitapa na kuwaponda wasanii wenzake, kana kwamba ye ndo anajua sana? Au ndo Hip Hop yenyewe hiyo?
Source: Wimbo Wake.
NOTE: Huyu jamaa ataacha lini kujitapa na kuwaponda wasanii wenzake, kana kwamba ye ndo anajua sana? Au ndo Hip Hop yenyewe hiyo?
Source: Wimbo Wake.