Majigambo Ya Nay Wa Mitego!!

Majigambo Ya Nay Wa Mitego!!

angalau dogo kajenga, kalapina jee?
Hata mchwa na ndege wamejenga....hapa tunazungumzia hip hop halisi,hata isha mashauzi amejenga lakini huwezi kumjumuisha na kalapina au jay mo kama wana hip hop.
 
nilishajiuzuru kusikiliza bongo flava.niko international zaidi,am going crazy with Nas,Fat Joe,Game,Xbit,etc

mkuu jaribu kuwasikiliza tamadun music hawa jamaa hawajaegamia popote utaniambia hasa hasa nikki mbishi
 
Ndo kasababisha ugomvi wa teamxxl clouds juu ya hayo majigambo yake ndan ya miaka 6 ya mziki nyumba 3 gari za kifahali na mkwanja mrefu adam akawageuka wenzie kwenye i dia ya biashara ya fiesta mwaka huu majuzi kwenye xxl
 
Back
Top Bottom