dnjoki
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 425
- 423
Hiyo ni midern taarabu..
Hez jus anotha MiC" sucker.....LOLIPOP" licker.he sees us VATOs......he runs.
Hiyo ni midern taarabu..
Hiyo ni midern taarabu..
haha.. ila huyu jamaa siku hizi kapunguza sana kugawa dozi, nakumbuka mara ya mwisho chidi alikutana na dhahama la huyu jamaa, na ilikuwa mwaka jana akiwa stejini.
Ney anaimba taarabu ya kigumu.
Mwisho wake umekaribia mno...amuulize mwenzake Dudu baya..HalaaaaaaaYupo yupo 2 Ilala akisubiri kwenda kuozea jela, kwa kosa la kumpga demu wake.
Endeleeni tu kumponda wakati jamaa kahamia kwenye mjengo wake mpyaaa kwa ayo ayo majigambo anayoyafanya..kikubwa mwacheni tu afanye atakavyo maana na uhuru binafsi ndani ya nchi huru ilimradi asikiuke maadili...oooohw jamaa hajui hiphop hana lolote analoimba wakati anabadili magari tu..shauri yenu!!!
Nawe unayemsifia umeshaamia kwenye nyumba yako, au bado upo kwa baba na mama? vipi bado unabadili mademu tu au nawe umeanza kubadili magari kama mwanahiphop wako nay?[/QUOTE
na wasiwasi na upeo wako wa kufikiri, kama maelezo yote ayo umeona kuna mahali nimemsifia uyo Nay wako hakika milembe panakuhusu.

kwa hili jibu bila shaka bado hujaama kwa mzee! komaa utatoka tu
Hiyo ni staili yake, ila kosa analofanya ni kujiweka katika reli moja na kina Fid Q, Hashim Dogo, Umbwa Lutuno, Jcb, Nash Mc, Kalapina, Jay Mo n.k.
angalau dogo kajenga, kalapina jee?
Ney anaimba taarabu ya kigumu.