majibu yenu yanaitajika hapa!!!

majibu yenu yanaitajika hapa!!!

Joined
Jul 9, 2012
Posts
11
Reaction score
6
Vile unavyomwona CHURA je kakaa,
kasimama, kachutama au kalala?

Hzo zote zilikuwa nimbwembwe2 ila point ya mcngi hiiyapa:

"mm nimgeni hapa naombeni mnikaribishe wapendwa wng...
 
Vile unavyomwona CHURA je kakaa,
kasimama, kachutama au kalala?

Hzo zote zilikuwa nimbwembwe2 ila point ya mcngi hiiyapa:

"mm nimgeni hapa naombeni mnikaribishe wapendwa wng...

Welcome? I think your ready 4 m4c.
 
mm pia mgeni. naomba mnipokee wana JF
Tukirudi kwenye mada, chura ni mamalia pekee mwenye uwezo wa 3 in 1 (kukaa, kuchuchumaa na kulala at th same time)
 
Mwee hizi mbwe mbwe jaman,haya karibuni.
 
Mimi nadhani chura hajakaa, hajasimama na wala hakuchuchumaa, bali umuonavyo ndivyo hivyo alivyo tu
 
Kwanza kabisa Chura haonekani hapo kuna gap tu. Pili usije kwa mbwembwe huwa kuna chura anaitwa BAN humu. Karibu
 
Vile unavyomwona CHURA je kakaa,
kasimama, kachutama au kalala?

Hzo zote zilikuwa nimbwembwe2 ila point ya mcngi hiiyapa:

"mm nimgeni hapa naombeni mnikaribishe wapendwa wng...

chura wa the comedy amesimama, sjui chura yupi unamzungumzia mkuu.
Karibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom