Majibu ya usaili NRFA/UTUMISHI

Majibu ya usaili NRFA/UTUMISHI

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,196
Reaction score
9,200
Wakuu,ndugu yangu alifanya usaili jumatatu na kuambiwa matokeo yatatoka leo ili kujua waliofaulu awamu ya kwanza!

Majibu yametoka ila yeye namba yake haipo popote pale ie kwa waliokosa hayupo na kwenye waliopata pia haonekani!! Kwa suala anafanyeje??!! Kwani namba yake hamna kabisaa!!!

Naomba msaada wa muongozo wakuu kwani waliopata wanatakiwa kwenda utumishi 29/05/2015 so ana siku ya kesho tu kama kuna hatua za kuchukua,please please msaada wenu!!
 
Wakuu mwenye muongozo wa hili suala hamna??!!
 
Back
Top Bottom