Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
My bad Nyani Ngabu!Ndugu, naona kama vile uliyemnukuu siye....
HKigwangalla
JF imeharibiwa na watu wenye roho za husda; nadhani wameshtushwa sana na jitihada zako unazozifanya badala ya kuomba ushauri nao wafanye kitu gani wamegeuka ni watu waliokata tamaa ya maisha hasira zao wanataka kuzimaliza kwako; nakupa pole sana kwa hilo endelea na jitihada zako mradi ukifanikiwa hautawasaidia wana CCM peke yao naamini lengo ni kuwasaidia watanzania wote hususani kina mama na watoto
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu are you sure about that?Nimesikitishwa sana na habari hii hususan kwa kuwa ilichapishwa bila kunipa fursa ya kueleza kwa mapana uhusika wangu. Niwapongeze gazeti la Nipashe kwa kupuuza uzushi huu mara baada ya kunipigia na kueleza upande wangu wa hadithi.
Dk. Kigwangallah alipotafutwa kwa simukufafanua tuhuma hizo, alisema amebanwa na kazi. Na alipoambiwa ametumiwamaswali kwenye barua pepe yake, aliahadi kujibu lakini hakufanya hivyo.
Alipopigiwa tena jioni, alisema, "Sema harakaunataka nini?" Alipoulizwa juu ya tuhuma hizo alikata simu.
Lakini baadaye aliandika ujumbe kwa simu:"Nitakupigia jioni nikitoka bungeni."
Alipoambiwa inaandikwa habari gazetini,alijibu kwa ujumbe mfupi kuwa tuhuma zilikuwa za uongo bila kufafanua.
Source: TANZANIA DAIMA
Sasa kama huna sababu ya kuthibitisha lolote kwa yeyote humu nini kimekufanya uandike mgazeti wote huo na kuuweka humu? Si ungeandika na kubandika huko kwenye litovuti lako la www.hamisikigwangalla.com....
Kumbe una kampuni khaaa
Mkuu are you sure about that?
Ulifikiri isingekuwa serious kiasi hiki?
Anamiliki 51% za kampuni, hausiki na utendaji wa kila siku wa kampuni, huu ni utetezi wa ki-kinana kinana kukubali umiliki wa kampuni inyo safirisha meno ya tembo huku asisitiza kutohusika na biashara hiyo kwani si mtendaji mkuu wa kampuni yake!
UCHAGUZI 2015 sio mbali. Wewe na wenzako kama MAIGE, NGELEJA etc. Mutakiona cha mutema kuni. Ni aibu sana kwa vijana kama nyinyi toka kanda ya ziwa kufanya ufisadii kiasi hiki wakati majimbo yenu yana shida tupu. Unategemea kushinda 2015? Majibu yako marefu sana, ningekuwa wewe ningejibu very simple ila sababu wewe muongo umetuandikia ngojela. AGAIN 2015 coming soon.