Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

Majibu ya Reginald Mengi juu ya Gesi kwa Profesa Muhongo

Nakubaliana na wewe!, kuna watu kauli zao zinaumba, ukigombana nao, umekwisha never mind nani yuko right!.

Mimi ni biker, I have been biker all my life, nimekuwa na treck na bike Dar-Moshi, 5 hrs, Dar Arusha 6 Hrs, Dar Dodoma 4 hrs!, Dar Moro 2 hrs, nilikuwa na fanyanya vipindi vya Nane Nane daily for 10 days nikitokea Dar na kulala Dar, nothing happened for me with bike for sixteen years!. I got a new love, she hates bike, she stopped me, ati anagopa ipo siku nitapata ajali!, my last ride she refused she cried, nilipata ajali mbaya!.

Kuna watu wakisema, ni kama masherifu, nakuhakikishia siku za Muhongo ni numbered!.
Hata bongo we have "untouchable!". Ukiwajua, ili ubaki salama ni bora uwaepuka!.

Nadhani ni Malima tuu ndio wamekwaruzana na jamaa amesurvive "Rufuji nako Sii Mchezo!".
Sometimes its better be safe than sorry!, Muhongo will eventually be sorry!.
Pasco.
malima aliomba msamaha kwa mengi, now hawana bifu tena hasa baada ya busara za mzee 6 wakati ule
 
Nakubaliana na Mengi 100%. Muhungo anatupelekesha. Policy ya Gesi ni Muhimu. Aache kwenda nje ya hoja. tusipokua makini, gesi itamilikiwa na wageni yote. Kuwa Prof siyo lazima kuwa kiongozi bora. inaonekana muhungo anakiburi sana. maneno yake ni dharau kwa watanzania.
 
My interpretition into that ni kwamba Dr Mengi ni 'fire starter' wa mafisadi vigogo wenye influence na hapa vitalu vinahitajika private and Prof Muhongo is a problem at the moment.


Alaas...Kuumbe ndo maana kichwa kilikuwa kinaniuma nkisikia jina la Mzee wa vinono Mangi...
He's danmn chess masterplayer..he just pushes the pawns to befall the kings!!
KIruuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
waliosema ana hivyo vitali alafu wakasema watavitaja baadae huoni kua apo kuna ulakini??? kwa nini wasivitaje tu directly kama ni kweli?? kwa nini watoe tuhuma inayo hang hewani hewani tu!!! pevuka ktk uwezo wa kufikiri!!!

mbona mengi hajakanusha hilo swala hata siku moja ,
lakini tukumbuke muhongo hana sababu ya kumsingizia mengi ila mengi ndiyo anayonafasi ya kumsingizia muhongo,
muhongo anapozwa na uimara wake kusimamia sheria kitu ambacho akina mengi hawapendi walizoe kutapeli na kukwepa kodi.
 
Jamaa huyu huwa anafikili Watanzania hawana akili, mara nyingi utumia kivuli cha uzawa sijui uzalendo kwa madhumi yake binafsi - huu uwezo wa kuwekeza kwenye major projects kama gesi na uchimbaji wa mafuta ambao unahitaji capital ya kufa mtu, mswahili uwezo huo ataupata wapi, ni benki gani za kimataifa zinaweza kutoa mikopo kwa watu ambao reference zao speaks volume about their persona! Wanasua sua kwenye mambo madogo mfano: Digital Telivision Transmission, kila saa kulia lia na kutoa visingizio kibao kujifanya anawasemea/tetea Watanzania wanyonge - hadaa tupu! Hivyo vitalu 59 anavihodhi kwa madhumuni gani, udalali? Je viwanja alivyo wahi kupewa na Serikali yetu tukufu kujenga viwanda alivifanyia nini? NICOL imeishia wapi? Kiwanda cha madawa ya binadamu na wanyama na jamaa wake kilihishia wapi? And the list goes on and on! Hasitumie wadhifa wa kuwa Chairman kwenye associations chungu nzima kuikandia Serikali aonapo jaja yake imeshtukiwa na Serikali ambayo mara zote hiko one step ahead of him, hata hivyo ana bahati sana kwa Serikali kumvumilia na vimbwanga vyake ambavyo wakati mwingine ushangaza sana? Nilisha sema humu, kama alikuwa na uwezo wa kuwekeza kwenye nyanja za gesi kwa mfano - kwa nini akwenda kuzima gesi ya songosongo iliyokuwa inaungua kwa zaidi ya miaka kumi, akaisafirisha kuja bara akajenga Power Station ya kufua Umeme, viwanda vya plastic, viwanda vya mbolea, cement nk - Serikali/ Mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kukubali Maendeleo ya Taifa letu ya-mark time kwa kusubiri ku-please waswahili wachache ambao uwezo wao kuwekeza kwenye Major Projects ni highly questionable. Waziri Muhongo alicho sema ni sahihi kabisa, binafsi nina imani naye kwamba atatuvusha Rubicon, hata ukimwangalia usoni Waziri unamuona yuko commited kuendeleza Taifa letu - haipendezi watu wachache wenye ajenda zao ambazo azieleweki wanafikia hatua ya kulumbana na Serikali - malumbano ambayo hayana taji yoyote zaidi ya kutaka kuidhalilisha Serikali yetu ili ionekane hawajali wazawa – usanii mtupu.

mkuu nakuunga mkono mengi kaibia sana taifa hili lakini sasa wamekuja wenye uchungu na taifa wamesimamia sheria anaona wabaya yeye aendelee kula chakula na watumishi wake tu siku za sikukuu lakini maslahi ya taifa tuheshimiane muhongo simamia sheria tumechoka na hawa matapeli akina mengi kuibiwa.
 
jamani wawekezaji pia wanakopa mabank, siyo lazima wawe na hela. richmond au IPTL alikua na mtaji gani??. siyo kuwa watanzania hawana hela siyo sahihi. hata wawekezaji wanakopa toka bank. inatakiwa makampuni ya nje yaingine ubia na wazalendo au serikali baadala ya kuwaachia 100%. Mengi anasema kitu cha msingi sana,sijui kwanini watanzania hasa maccm ni wagumu kuelewa the basics.
 
swali sii kuwekeza tuu, just for the sake of foreign investment. The question is what are we benefiting as Tanzanians???. Gasi haiozi, hivyo hatuna haraka ya kusaini mikataba mibovu bila policy yeyote.
 
tusimwangalie Mengi as a person. Tuzungumze hoja alizozitoa. je zina msingi?. Watanzania badala ya kujadili hoja wanaishi kujadili mtu. kila mtu ana matatizo yake. it is not about Mengi, it about the facts raised by Mengi.
 
Mtaishia kuzungumza watu tuishie kupoteza. Achana na kuzungumza kuhusu individuals, maana hakuna malaika. Tuzumngumze hoja zilizopo mezani
 
Kakuibia nini wewe kiboga, kama atatokea mtanzania wa kawaida akimsengenya Mengi nitamona chizi au yupoyupo tu Tanzania.
Matajiri wengi wachoyo lakini huyu amewasaidia wengi sana nchi hii kusukuma maisha yao.

we huna akili unamjua mengi wewe labda awe shemeji yako ndiyo maana unamtetea mengi hajafanya chochote zaidi ya kutoa chakula kwa walemavu.
 
Tanzanias be smart. Talk about facts, and not people. People are always faulty. Talk about issues raised by Mengi, and not Mengi. Whether those issues are important or not. Pia media za Tanzania they should focus on issues of interest and value to the people, and about individual differences.
 
Tanzanias be smart. Talk about facts, and not people. People are always faulty. Talk about issues raised by Mengi, and not Mengi. Whether those issues are important or not. Pia media za Tanzania they should focus on issues of interest and value to the people, and NOT about individual differences.
 
Justify...otherwise utakua ni mbumbu usiyejitambua

Juzi Mengi kakutana na bodi yake kabla ya kwenda kukutana na bodi ya TPDC, katika kikao na wajumbe wa bodi anawalazimisha wajumbe wenzake kubuy inn mawazo yake na walipofika TPDC katika maelezo ya Mengi yalipanguliwa kwa hoja na Mwenyekiti wa Bodi na Mtendaji mkuu wa TPDC na wajumbe wengine waliridhika na maelezo ya Bodi ya TPDC isipokuwa Mengi.
Nakujustify hilo Mjumbe mmoja wa Bodi ya TPSF alimpinga Mengi Mbele ya Bodi ya TPDC kuwa katika hoja zote Nne ambazo walikwenda nazo ni moja tu ya TPSF ila hizo 3 zote ni za Mengi.:majani7:
 
Tanzanias be smart. Talk about facts, and not people. People are always faulty. Talk about issues raised by Mengi, and not Mengi. Whether those issues are important or not. Pia media za Tanzania they should focus on issues of interest and value to the people, and about individual differences. Hata Yesu Kristo ana maadui. Tukianza kuongelea, hata wewe Pasco hautakua msafi
 
mengi ana hoja ya msingi rasilimali ziwanufaishe wazawa, hizi hoja watu wanazokuja nazo kumu-attack Mengi personally hapa hazina maana kwani hoja ni maliasili kwa watanzania
 
Kiwango cha maendeleo ya nchi ni kipimo ya kufikiria na utendaji wa watu wake. Tanzania ni maskini kwa sababu hapo ilipo ndo kipimo cha juu cha kufikiri cha watu wako. discuss about the paper submitted to you by Mengi, Mengi being the author, and do not discuss the author. If you discuss the author you will end up missing the content of the paper. Miaka yote tumeisha kuchambua watu badala ya facts, na umaskini unaendelea kuua nchi. Gas is the only last resort to develop this country. hatuna technology, hatuna madini tena, hatuna viwanda, wala hatuna utaalamu wowote wa kutupa hela za kigeni. Gas issues cannot be just a one man show. It needs wider discussion and contribution for local and external experts, making a good gas policy.
 
elimu ya tanzania pia ina matatizo. People are not that concrete in discussing facts!!. Discuss hoja alizozitoa mengi kwa mstakabali wa Taifa kwa watu 45ml, achana na maisha ya Mengi kama mtu.
 
Ccm ni laana nchini na duniani kwa ujumla! Natamani tuamke siku moja tusikie wote ni marehemu! Nawachukia toka moyoni!
 
Kwa jinsi nilivyo, I would rather be sorry than safe aisee. My ego won't let me kumlamba miguu mtu na hali niko sawa.

Hii kusema mtu ni sherifu ni kuutengeneza fear, kama ilivyo tu uchawi, pure fear. Kama ni suala la kutishana than arguments kulingana na mazingira yaliyopo, umeshinda.

Ngoja niendelee kuwa mtizamaji tu.

Nakubaliana na wewe!, kuna watu kauli zao zinaumba, ukigombana nao, umekwisha never mind nani yuko right!.

Mimi ni biker, I have been biker all my life, nimekuwa na treck na bike Dar-Moshi, 5 hrs, Dar Arusha 6 Hrs, Dar Dodoma 4 hrs!, Dar Moro 2 hrs, nilikuwa na fanyanya vipindi vya Nane Nane daily for 10 days nikitokea Dar na kulala Dar, nothing happened for me with bike for sixteen years!. I got a new love, she hates bike, she stopped me, ati anagopa ipo siku nitapata ajali!, my last ride she refused she cried, nilipata ajali mbaya!.

Kuna watu wakisema, ni kama masherifu, nakuhakikishia siku za Muhongo ni numbered!.
Hata bongo we have "untouchable!". Ukiwajua, ili ubaki salama ni bora uwaepuka!.

Nadhani ni Malima tuu ndio wamekwaruzana na jamaa amesurvive "Rufuji nako Sii Mchezo!".
Sometimes its better be safe than sorry!, Muhongo will eventually be sorry!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom