Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,675
- 134,382
Huu sasa ni wivu tuu wa kale "kabinti!", eti kwa vile yeye kapata, unamuonea wizi na kutaka binti yake naye apate mzee na ndio umemchagulia the "would be bamkwe" alipize kisasi cha mwanaye!.Pasco,
Lakini wahenga walisema sio kila siku ni IJUMAA, tutarudi hapa, safari hii kafika mwisho wa RELI, huyu ni adui wa watanzania vibaya mno. Ningekuwa na uwezo ningemuomba Mzee Kingunge amjaze mimba bint yake ili aone uzuri wake
Hili la kumuita ni adui, sii kweli na humtendea haki!, hebu fikiria maelfu za direct and indirect ajira alizotoa kwa Watanzania kupitia IPP, SCULTS, VICOBA etc, hebu fikiria jinsi anavyotoa misaada mbali kila uchao!, hebu fikiria jinsi anavyofadhili vyama vya wenye ulemavu mwaka hadi mwaka!, hebu fikiria ile tafrija ya walemavu kila mwaka!. Unathubutu kumuita huyu ni adui kwa sababu tuu ya ile "bingo?!".