toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 5,840
- 10,268
Kwa wale wataalam wa haya mambo naomba msaada, nina ndugu yangu yupo down sana leo, alifanya interview ya Tamisem mwez ulopita kama sikosei, akapita mpaka Oral ya interview zote alizofanya sasa leo majibu yametoka nimemuuliza anasema bila bila, ila anasema kwa mfano kwene ICT security kulikuwa na watu 15 wao wakawa wanahitaji watu 8 ila walioitwa kazin ni 3 na sio nane kama ilivyoainishwa kwene Tangazo, computer programming kulikuwa na watu 50 wakawa wanataka watu 25 ila waloitwa kazini ni 14 na sio 25 Je inawezekana hawa wengine hawakuqualify au bado wataendelea kuita watu mpaka watimie nane ? ....Nawasilisha, kwa watu wenye uzoefu...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums