Majibu ya Interview Tamisemi (ICT SECURITY na PROGRAMMING)

toughlendon_1

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
5,728
9,996
Kwa wale wataalam wa haya mambo naomba msaada, nina ndugu yangu yupo down sana leo, alifanya interview ya Tamisem mwez ulopita kama sikosei, akapita mpaka Oral ya interview zote alizofanya sasa leo majibu yametoka nimemuuliza anasema bila bila, ila anasema kwa mfano kwene ICT security kulikuwa na watu 15 wao wakawa wanahitaji watu 8 ila walioitwa kazin ni 3 na sio nane kama ilivyoainishwa kwene Tangazo, computer programming kulikuwa na watu 50 wakawa wanataka watu 25 ila waloitwa kazini ni 14 na sio 25 Je inawezekana hawa wengine hawakuqualify au bado wataendelea kuita watu mpaka watimie nane ? ....Nawasilisha, kwa watu wenye uzoefu...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sababu nipo macho muda huu ngoja nikujibu, yote yanawezekana mkuu avute subira kwa hatua aliyofika jina lake lipo kwenye kanzidata muda wwote anaweza itwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

sawa mkuu ntamwambia ila yupo down sana mkuu anadhani waliwachuuza kusema wanataka watu nane security na kuita watatu na 25 programmer na kuita 14, ntamjuza....

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo huwa inatokea. Jina lake limetunzwa. Mwambi awe na simu yake all the time atapata fursa
 
Inawezekana...mimi kuna usaili tulifanya watu 8 lakini itaji ikawa watu 5 Ila mwisho wa siku nikaitwa pekeyangu japo nilipiga chini ofa ; mwambie awe na subiri.

Inawezekana idadi iliyoitwa ndo ilikua na umuhimu wa kuitaji watu kwa uharaka ; Ila wengine wataitwa pindi bajeti ikikaa sawa. Ni mawazo yangu
 
sawa mkuu, ntayafikisha

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa wale wataalam wa haya mambo naomba msaada, nina ndugu yangu yupo down sana leo, alifanya interview ya Tamisem mwez ulopita kama sikosei, akapita mpaka Oral ya interview zote alizofanya sasa leo majibu yametoka nimemuuliza anasema bila bila, ila anasema kwa mfano kwene ICT security kulikuwa na watu 15 wao wakawa wanahitaji watu 8 ila walioitwa kazin ni 3 na sio nane kama ilivyoainishwa kwene Tangazo, computer programming kulikuwa na watu 50 wakawa wanataka watu 25 ila waloitwa kazini ni 14 na sio 25 Je inawezekana hawa wengine hawakuqualify au bado wataendelea kuita watu mpaka watimie nane ? ....Nawasilisha, kwa watu wenye uzoefu...

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapakuwa na ela za kuajiri wote, wakipata pesa wataita hao wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna mambo 2.
1st. Huenda hao walioitwa ndio waliofaulu kwa mujibu wa Msaili (psrs). Na kama iko hivyo basi asijifariji kuwe kahifadhiwa kwenye kanzidata.
2nd.Huenda alifaulu ila idadi ya watu ilipunguzwa kulingana na bajeti ya mwajiri. Kama alifaulu atulie asubiri mlango unaweza ukamfungukia tena wa taasisi nyingine pendwa.
 
nimekuelewa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo kuna mambo 2.
1st. Huenda hao walioitwa ndio waliofaulu kwa mujibu wa Msaili (psrs). Na kama iko hivyo basi asijifariji kuwe kahifadhiwa kwenye kanzidata.
2nd.Huenda alifaulu ila idadi ya watu ilipunguzwa kulingana na bajeti ya mwajiri. Kama alifaulu atulie asubiri mlango unaweza ukamfungukia tena wa taasisi nyingine pendwa.
Taasisi pendwa Ile ya lithuli Street?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAMISEMI watu walio faulu wengine wamepangwa halmashauri kibao tu nchi mzima,so yeye kama jina halipo tamisemi wala halmashauri na labda alifanya vzr ajipe moyo atakuwa kwa database.Ila kufika oral interview sio kupata kazi

hyo inaeleweka, kwa muhibu wa tangazo la kazi walikuwa wanataka programmer 25 ila kwenye lile tangazo wapo 14 tu na walikuwa wanataka watu wa it security 8 na kwene lile tangazo wapo 3 tu hapo ndio alipochanganyikiwa na yeye alifanya programming na ict security, idadi ya watu walioitwa kazini haiendani na idadi ya wale walokuwa wanahitajika..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom