emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,096 Reaction score 1,607 Nov 5, 2023 #42 aisee appeal imekaribia manake kama hadi sasa hamna hela tumekosa
emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,096 Reaction score 1,607 Nov 5, 2023 #43 mafundi wa kuapeal, tupeane mbinu na maneno gani ya kutumia kuleta ushawishi kwa bodi angalau tuambulie ya kula
mafundi wa kuapeal, tupeane mbinu na maneno gani ya kutumia kuleta ushawishi kwa bodi angalau tuambulie ya kula